Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mambo ni
IMG-20180425-WA0005.jpg
 
Aliekuambia uzaliwe pamoja na dada mzuri hivi ni nani usione uchungu ndio nimesha oa na ninasubiri muda tu ni mpatie mimba nyingine.
Bila kutimiza masharti ya kimila utateseka sana shemeji. Na hapo bado. Na mwisho wa siku utakuja tu kututafuta. Mark my words. Utakuja kupata mtoto hayuko sawa na utatembea kila mahali ila kila unakokwenda utaambiwa umlete kwa bibi yake mzaa mama akawekewe mikono. Na ukija na mikono mitupu tutakutoa mkuku. Tafuta ng'ombe kadhaa uje urekebishe mambo. Acha ubahili na hujachelewa.

Hata Wenga wako Aseno kaondoka. Jiongeze
 
Basi akapeleke hako kapwa ketu kakabebwe na Wenga. Sibebi kapwa ambako hata senti moja ya mahari sikupata. Nefaaaa !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naam Mkuu nakumbuka sana ila inaudhi na kusikitisha sana kuona thamani ya uhai wa Watanzania haipo tena kwa sababu tu yeye ni si wa chama chako. Sasa ikifikia mahali wanaouwawa kila mara uvumilivu kuwashinda basi hapo ndiyo Nchi itawaka moto.
Kweli Chief. Nakosa usemi kwa tunayofanyiwa wananchi. Hatukuzoea hali hii kabisa!
 
ho chi minh amechokaaaa... Kadikerea kwa Carba eti yeye ni lile la [emoji216] kibisa, achana na nyuki wa mashineni, yaani hata kulamba lamba haweziiiiiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Leo alinishanganza sana Mchina kwa kweli. Eti hata akijifunika shuka moja na Carba nasingi wili hapeni. Duh !!!
 
Back
Top Bottom