Ulikosea sana. Ukiwa brozoned/friendzoned kamwe usiombe mzigo. Wewe kuwa tu karibu naye na jitahidi sana ucheze michezo ya kisaikolojia hasa akiwa na bifu na boifrendi wake au akiwa lonely kihisia. Wewe hapo ndo zidisha kumjali sasa hata kumtoa out na kwenye ma night club huko; na maushauri kedekede wisdom kibao Mfalme Suleiman cha mtoto. Amini amini nakuambia siku isiyo na jina itafika na utakula mzigo bila kutegemea. Na siku hiyo ikifika basi usiwe na papara. Make love to her (don't just f**k her). Make her feel like a very special woman. Pull every trick in the book. Baada ya hapo jifarague kuwa "This was a mistake na tusirudie tena please" kumbe moyoni unacheka tu. Kutokana na ile passion na utofauti uliomwonyesha kuanzia siku hiyo mwenyewe ndo atakuwa anakuita kwenda kumtafuna. Nawe usionyeshe kupunguza passion hata kama hukunogewa sawasawa. From there unaweza hata kumtwaa mzima mzima ukitaka na kujimilikisha kabisa...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️