Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] sasa utafanyaje na yy ndo kaamua iwe hvo,inabidi usikilizie tu huko kwenye ubrozone maybe one day unaweza pewa heshima yako na ukagegeda km kawa inahitaji muda tu, mambo mazuri hayataki haraka

Kuna sehemu nilipewaga ubrozone basi bhna siku moja nikajichanganya kuomba mzgo nlipewa ban hyo sitaisahau, niliambia kama huwezi kuwa rafiki kuwa adui
Ulikosea sana. Ukiwa brozoned/friendzoned kamwe usiombe mzigo. Wewe kuwa tu karibu naye na jitahidi sana ucheze michezo ya kisaikolojia hasa akiwa na bifu na boifrendi wake au akiwa lonely kihisia. Wewe hapo ndo zidisha kumjali sasa hata kumtoa out na kwenye ma night club huko; na maushauri kedekede wisdom kibao Mfalme Suleiman cha mtoto. Amini amini nakuambia siku isiyo na jina itafika na utakula mzigo bila kutegemea. Na siku hiyo ikifika basi usiwe na papara. Make love to her (don't just f**k her). Make her feel like a very special woman. Pull every trick in the book. Kumbuka kuwa women are passion beings. Hisia kwa sana...Baada ya hapo jifarague kuwa "This was a mistake na tusirudie tena please" kumbe moyoni unacheka tu. Kutokana na ile passion na utofauti uliomwonyesha kuanzia siku hiyo mwenyewe ndo atakuwa anakuita kwenda kumtafuna. Nawe usionyeshe kupunguza passion hata kama hukunogewa sawasawa. From there unaweza hata kumtwaa mzima mzima ukitaka na kujimilikisha kabisa...Busara zitaniua jamani
[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Weeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujawahi wekwa brozone eeh?
Ama hata friendszone??
Yaani mwanamke unamzimikia kwa mizimiko yote,yani unaona hapa ndo moyo umedondoka halafu anaku brozone useme ni heshima tosha wakati kichwani unawaza kumgegeda tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inatokeaga. Ila ukiwa simba mwenda pole wala huna sababu ya kuwa na wasiwasi [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Na kweli, wa moja ni wa moja tu... Nami nilijua uniq kwa utoto alio nao ngoma haikeshi, asingeweza babe S kuvumilia usumbufu wa kitoto kile.
Hongera sana mkuu, babe S ni wako hadi hapo uniq atakapo maliza kidato cha nne (hata sijui atamaliza lini!!!) huko mbeleni
Hahahahah kuchemka ni kuchemka tuu. Mtangoja sana.
 
Kuna kipindi Kamishna mkuu wa uhamiaji anaweza akamtaka muombaji athibitishe uraia wa wazazi wake.
SASA UMESHAYAJUA MAHITAJI YA KUPATA PASIPOTI, JIPANGE NA TAARIFA HIZO ILI UNAPOHITAJI USIPATE USUMBUFU.
Ni lazima pia uwe na pesa za kuhonga hasa kama unahitaji pasipoti yako chini ya wiki mbili. Au uwe na mtu unayemfahamu vinginevyo utatafutiwa visababu tu na utakwama
 
Mpare akija hapa ataua mtu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ka uniq kametingwa na ada, jana kamepiga simu eti "Anko shikamoo... Kesho Anko wananifukuza shule sababu ya ada, naomba unisaidie je?" Nimemuambia "pambana... Maana pesa niliyo kupa ya ada miaka miwili QT hukuipeleka sehemu husika ila ukaidaiveti kwenda kwa akina babe S kisa utelezi wa 'konokono ' wa kisukuma".
Mwache aje, akikua atanielewa
 
Mnaolilia viapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20180427-WA0056.jpg
 
Aongezwe msaidizi?? Kwani sina uwezo wa kuinua na kuinamisha kwa mfululizo kichwa changu ?
Unanitakia nini wee binti wa kipwani? Ninawezana nayo ujue, achana na udogo wa funguo ya semitrela... Laenda umbali mrefu na kuchemsha juu kama halikupumzishwa
Shemejiiiii. He is back. Jizazi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio bhana alikuwa mzee wa liver ndo alifanya yake. Umesahau kilio cha babe S juu ya mvaa suruali za vitambaa?
Mimi nilijua mlisha nyoosha mikono kumbe ni Babe S anawasumbua. Subirini basi tumtoe mtoto nje kwanzaaa. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ka uniq kametingwa na ada, jana kamepiga simu eti "Anko shikamoo... Kesho Anko wananifukuza shule sababu ya ada, naomba unisaidie je?" Nimemuambia "pambana... Maana pesa niliyo kupa ya ada miaka miwili QT hukuipeleka sehemu husika ila ukaidaiveti kwenda kwa akina babe S kisa utelezi wa 'konokono ' wa kisukuma".
Mwache aje, akikua atanielewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nimekaona hapo juu kamekuja...Kumbe hela za ada kanamaliziaga kwenye konokono?
 
Back
Top Bottom