Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha hata kupewa ubrozone ni heshima tosha pia
Weeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujawahi wekwa brozone eeh?
Ama hata friendszone??
Yaani mwanamke unamzimikia kwa mizimiko yote,yani unaona hapa ndo moyo umedondoka halafu anaku brozone useme ni heshima tosha wakati kichwani unawaza kumgegeda tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
C. Njia ya upasuaji
Njia hii hupendekezwa kwa watu wafuatao:

Dalili kali ambazo hazisikii dawa.
Mkojo kuziba ghafla.
Maambukizo ya njia ya mkojo ya mara kwa mara.
Damu kwenye mkojo.Figo kushindwa kufanya kazi kwa sababu ya shida ya tezi dume.
Mawe ya kibofu pamoja na tezi dume iliyopanuka.kuongezeka kwa mkojo unaobaki baada ya kukojoa.
Upasuaji umegawanyika katika aina mbili kukatwa au kuchomwa.
Eeeeh, kuchomwa, ikoje hiyo au kama alivyofanyiwa mkuu wa zamani?
 
. Kukatwa sehemu /kipande cha tezi dume

Hii ndiyo njia ambayo kwa kawaida hutumiwa na huwa nzuri kuliko dawa.Husaidia wagonjwa wengi, asilimia themanini na tano hadi tisiini. Husaidia kwa muda mrefu. Daktari hukata sehemu iliyoziba kwenye njia ya mkojo.Ngozi haikatwi wala kushonwa, lakini mgonjwa lazima alazwe hospitalini kwa operesheni hii.
Vema, hilo nalo nimeelewa ingawa kuna mtu hapa anataka kunikata stim
 
Fresh tu,tena nitampongeza.

Haya maisha hutakiwi kujifananisha na yeyote yule.
Kila mtu ana fate yake.Kujifananisha na watu ni kujipa stress zisizo na msingi.
Jikubali na ujiamini katu usijifananishe na mtu yeyote yule.
Kweli kabisa,binadamu wote hatuwezi kuwa sawa, eti wote tuwe matajiri na hao wafanyakazi watoke watoke wapi sasa
 
Habari yangu itakuwa salama ukinipa talaka yangu,siwezi olewa mwakaleli nikalale koromije mimi nefaaaa...[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nilijua tu. Kwapu kwapu wamekukwapua... Yaani kuonekana kichaka ni kosa?
Haya,aliye kukwapua ni nani? Au huyu huyu wa nani hii? Ana nani hii pale? Maana huyo ndo simuamini shilingi!!!!
 
Weeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujawahi wekwa brozone eeh?
Ama hata friendszone??
Yaani mwanamke unamzimikia kwa mizimiko yote,yani unaona hapa ndo moyo umedondoka halafu anaku brozone useme ni heshima tosha wakati kichwani unawaza kumgegeda tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] sasa utafanyaje na yy ndo kaamua iwe hvo,inabidi usikilizie tu huko kwenye ubrozone maybe one day unaweza pewa heshima yako na ukagegeda km kawa inahitaji muda tu, mambo mazuri hayataki haraka

Kuna sehemu nilipewaga ubrozone basi bhna siku moja nikajichanganya kuomba mzgo nlipewa ban hyo sitaisahau, niliambia kama huwezi kuwa rafiki kuwa adui
 
Kabla ya upasuajiNi vizuri kuhakikisha mgonjwa yu katika hali nzuri kimwili.

Dalili kali za kuvimba kwa tezi dume, mkojo kufunga, maambukizi yanayojirudiarudia ya mfumo wa mkojo, na figo kushindwa/kufeli ni dalili zinazohashiria umuhimu wa upasuaji.

Mgonjwa asivute sigara ili kuzuia maambukizo ya kifua ambayo huchelewesha kupona.Mgonjwa anashauriwa asiendelee kutumia dawa zinazofanya damu nyepesi kama vile aspirin,warfavin au clopidogrel.
Asee, sawa
 
Nilijua tu. Kwapu kwapu wamekukwapua... Yaani kuonekana kichaka ni kosa?
Haya,aliye kukwapua ni nani? Au huyu huyu wa nani hii? Ana nani hii pale? Maana huyo ndo simuamini shilingi!!!!
Sasa unategemea siku zote umenitelekeza hapa bila taarifa karibia mwezi ama miez miwili naishije?
Huyo usiyemuamini sijui hata ni nani.[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom