Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mambo yanajiunda yenyewe bila Mimi Kutia neno.
Na kweli, wa moja ni wa moja tu... Nami nilijua uniq kwa utoto alio nao ngoma haikeshi, asingeweza babe S kuvumilia usumbufu wa kitoto kile.
Hongera sana mkuu, babe S ni wako hadi hapo uniq atakapo maliza kidato cha nne (hata sijui atamaliza lini!!!) huko mbeleni
 
UpasuajiHuchukua kati ya dakika sitini hadi tisini.
Mgonjwa hudungwa sindano ya nusukaputi na hupatiwa dawa za kuzuia maambukizo.
Wakati wa upasuaji,kifaa maalumu (resectoscope) huingizwa kwenye njia ya mkojo kupitia kwenye uume.
Kifaa hiki huwa kina mwanga na kamera ya kupiga picha, waya ya kukata sehemu ya tezi na pia kuziba mishipa ya damu, na njia inayopeleka maji ya kusafisha kwenye kibofu.
Sehemu inayokatwa hutumwa kwenye maabara ili ichunguzwe iwapo ina chembe chembe za saratani.
Mhh, wanasayansi wanafanya mambo makubwa
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] sasa utafanyaje na yy ndo kaamua iwe hvo,inabidi usikilizie tu huko kwenye ubrozone maybe one day unaweza pewa heshima yako na ukagegeda km kawa inahitaji muda tu, mambo mazuri hayataki haraka

Kuna sehemu nilipewaga ubrozone basi bhna siku moja nikajichanganya kuomba mzgo nlipewa ban hyo sitaisahau, niliambia kama huwezi kuwa rafiki kuwa adui
Yaani uwekwe ubrozone halafu upewe mzigo,thubutu[emoji23][emoji23]
Bora friendszone hapo yaweza tokea.

[emoji23][emoji23][emoji23]pole bhana,ila na wewe ukakubali kuwa brozoned kwanini?
Ungemchana tu hutaki bhana,yaani ufe na kiu wakati maji unayo[emoji23][emoji23][emoji23]mi siwezi aiseh
 
Baada ya upasuaji

Mgonjwa hukaa hospitalini kwa siku mbili hadi tatu baada ya upasuaji.
Baada ya upasuaji katheta au tyubu kubwa huingizwa kwenye njia ya mkojo hadi kwenye kibofu.
Maji maalum husukumwa hadi kwenye kibofu na kutolewa kwa mfululizo kwa saa kumi na mbili hadi ishirini na nne.
Maji haya huwa ni ya kutoa damu au damu iliyoganda baada ya upasuaji.
Mkojo ukionekana safi bila damu yoyote, basi katheta hutolewa.
Vema sana, nakusoma
 
Na kweli, wa moja ni wa moja tu... Nami nilijua uniq kwa utoto alio nao ngoma haikeshi, asingeweza babe S kuvumilia usumbufu wa kitoto kile.
Hongera sana mkuu, babe S ni wako hadi hapo uniq atakapo maliza kidato cha nne (hata sijui atamaliza lini!!!) huko mbeleni
[emoji23][emoji23][emoji23]unamponza mwenzio.
Uniq alishawahi kumteka huyu
 
Kunywa maji mengi kusafisha kibofu.
Zuia kwenda choo na hasa choo kigumu kwani huzidisha kutokwa na damu.
Ukifunga choo tumia dawa ya kuharisha.
Usitumie dawa za kufanya damu kuwa nyepesi bila ushauri wa daktari.
Usifanye kazi ngumu kabla ya wiki nne hadi sita.
Usifanye kitendo cha ndoa kabla ya wiki nne hadi sita.
Usinywe pombe, kahawa wala vyakula vyenye viungo vikali.
Sawa
 
Yaani uwekwe ubrozone halafu upewe mzigo,thubutu[emoji23][emoji23]
Bora friendszone hapo yaweza tokea.

[emoji23][emoji23][emoji23]pole bhana,ila na wewe ukakubali kuwa brozoned kwanini?
Ungemchana tu hutaki bhana,yaani ufe na kiu wakati maji unayo[emoji23][emoji23][emoji23]mi siwezi aiseh
Hahahaa eti ufe na kiu wakati maji unayaona

Kumbe bora ufriendzone inaweza tokea siku moja mambo yakawa sawa
 
Moja kati ya vitu vigumu maishani, ni kuishi kama unavyotaka wewe maisha yawe.
Mara kwa mara utajikuta unachanganywa na vitegemezi kama chakula, manunuzi, matukio ya televisheni, mitandao ya kijamii na hata simu za mkononi.
 
Vitegemezi hivi vinachangia kukuondoa katika uhalisia wako wa maisha na kukusahaulisha hisia za kweli na unajikuta unapoteza fursa zilizopo.
Unapokuwa mpweke ndio unapata muda wa kuzitafakari hisia zako halisi kwa kina:
uoga, hofu, furaha, hasira, au hata huzuni.
Haijalishi hisia zako ni hasi au chanya lakini zinakupa picha halisi ya unataka nini katika maisha
 
Wee mchina maswali gani haya? [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nilimwambia sina hizo nguvu hivyo nikamuomba urafiki maana nisingekuwa na madhara kwake ajabu kanikatalia.
Nilitaka wakati mwingine tungekua tunatembeleana tunaongea mpaka usiku,,
Siku ikinyesha mvua ninasinzia kwake maana sina madhara a.k.a nyuki wa mashineni.
 
1.KUTAKA KUFANYA KILA KITU:


Karibu kila binadamu kuna kipindi anahisi anapitwa na vitu vinavyofanyika duniani, ambavyo anatamani pia angekuwa anavifanya.
Lakini hakika unaweza ukazunguka kila sehemu na kutaka kujihusisha na kila kitu, mathalani kufanya kazi,au burudani masaa 24 bila kulala lakini bado hautaweza kujihusisha na kila kitu.
Kwahiyo achana na hisia za kwamba unapitwa na mambo na tambua kila unachotakiwa kufanya kipo katika mazingira yako.
 
Back
Top Bottom