samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,269
sio kweli mzeeSamuel sio nawatafuta nasikia mnapenda sana kuishi katika maisha ya kuwa na wasi wasi.
sio kweli mzeeSamuel sio nawatafuta nasikia mnapenda sana kuishi katika maisha ya kuwa na wasi wasi.
Mimi sikai Dar nasikia watu wanipwa Tezi dume hukoUkisha iwezea viungo vyake mbona nayo tamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu dogo kama ni kweli kauli yako tukutane kule ofisini kwa Paul Makonda
Mahari ulimtwisha Wenga...Najua unataka ng'ombe wa nyongeza
Leo hii. Yaani huyu mzee na suruali zake za vitambaa alizo uziwa na Kichwa Kichafu kaisha kabisa. Hana uwezo wa kutema mate tenaHahaha yametokea lini haya
Hahaha. Njooni mchukue wwngine mimi ndie Mpare mwenyewe wa Gonja. NjooniKapare haka hata hawa wenye vichwa vikubwa kama madume ya siafu askari hakana. Kalitwambia eti tukachukue mbuzi na bata tukagoma hatujakaa sawa Numbisa ndiyo akajitokeza na udhamini wa Wenga.
UnamkanaNi mpwa wa Wenga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hako kazew ni kaongo sana. Kwani Cole alisha achia hilo koloni??Ni kweli. Alisema kabisa kuwa hana kabisa nguvu za kiume yaani netiweki zero...
Akaliona jichoHahahaha+++++!
Cole alishanyang'anywa na Andjul zamaniiiii [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Hako kazew ni kaongo sana. Kwani Cole alisha achia hilo koloni??
Hahahahahah!Akaliona jicho
Lionalo hisia za ndani rohoni
Likichoma na kubanika
Mioyo ya wanaume wakware...
Kimila kama hujatoa mahari hatumjui. Hata ikitokea yeye na/au mamake akaitwa mbele ya haki wala usije kutusumbua. Mambo haya ni magumu ndo maana nakuomba sana uyamalize kiume tu wakati muda ungalipo. Lipa mahari shemeji...Unamkana
Usi hofu Mkuu. Ila nimesha elewesgwa na BAK. Ila nimesikitika sana kilicho tokea. Hatakama tuna itikadi tofauti maisha ya mtu ni kitu muhimu sana. Pole kwa wafiwa.Oow didnt know man, ila ni chats tu we don go deep. But its good now i know.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shimbaaaaKapare haka hata hawa wenye vichwa vikubwa kama madume ya siafu askari hakana. Kalitwambia eti tukachukue mbuzi na bata tukagoma hatujakaa sawa Numbisa ndiyo akajitokeza na udhamini wa Wenga.
Hata mimi nimeshangaa!!!! Ini abusensi ya mwenyekiti na katibu lakini chama kinazidi kukua tena bila adivataizimenti! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani ninakazi hapa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shimbaaaa
Hahahahahaha+++!
You are very right. Nini tufanye ilo swali bado tuko nalo, chief.Usi hofu Mkuu. Ila nimesha elewesgwa na BAK. Ila nimesikitika sana kilicho tokea. Hatakama tuna itikadi tofauti maisha ya mtu ni kitu muhimu sana. Pole kwa wafiwa.
Ndio, umesahau? Alisema yeye hana madhara atakuwa anazunguka tu nje kule Masaki.Akapotea mazimaaaa... Kurudi anaimba taarabu, hata sijui walimfanya nini mzee yule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alishawahi kutumia hii gia ya kukosa nguvu za kiume?