Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muda wooooote nilio kujua, nilikuwa nasubiria saaaana neno la dharau hilo la "mpare wa Gonja"
Shemeji Shimba futa madai yako yote. Hapo haupati kitu, kesha jiapiza kabisa. Hao wa Gonja ni wabaili afadhali ya shuaini utamla nyama
Aisee. ASANTE kunishtua. Simgusi tena mpaka atakapokuja kututafuta mwenyewe (na atakuja tu !!!)
 
Figo yako ina vichujio milioni moja

Kila figo yako moja ina vichujio takriban milioni moja vinavyochuja lita 1.3 za damu kila dakika na kupelekea kuzalisha lita 1.5 za mkojo kwa siku.
Inakuwaje wanaposema kiwango cha mkojo kwa siku uzalishwa ikitegemea zaidi kiwango cha maji utakayoingiza mwilini(aqua inlet) pamoja na hali ya hewa na alcoholic take up
 
Unaweza kukaa bila kulala kwa siku 11

Rekodi ya dunia ya mtu aliayeweza kukaa muda mrefu zaidi bila kulala iliwekwa na Randy Gardner ambaye alikaa siku 11 pekee. Inaelezwa kuwa ukikaa zaidi ya hapa utaanza kupata matatizo ya kiakili na kisaikolojia.
Na ndiyo maana wajeda wengi vichaa six week sio mchezo aisseee
 
Back
Top Bottom