Si jicho la kwenye avatarJicho lipi mkuu? Limefanya nini???
Mungu ni mwema kwa Kweli.Harakati ziko poa mkuu, Mungu anasaidia, vipi huko harakati vp
Nzuri kabisa za wewe?Habari yako bhana?
Experience [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], vipi hamna kipengele cha EXPERIENCE??
Hahahaaa ww mchokozi kwel aisee, hicho Sijakiona ila jamaa anataka awe anaweza kuzungumza english[emoji23][emoji23][emoji23], vipi hamna kipengele cha EXPERIENCE??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dooh! Womens mpaka store wanaingia tena hapo kwenye mchoro naona wanapita hadi juu ya makabati
Nimeamka poa kabisa, leo umeamka na Jack Pemba, hadi jua kuzama kutakuwa na nyngne pia