myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
10:58
Nimeamka poa kabisa, leo umeamka na Jack Pemba, hadi jua kuzama kutakuwa na nyngne piaKwema kabisa,umeamka salama?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Haya fanya teke
Neno la asubuhi hili,,[emoji182]View attachment 758707
Hahahahaha!! Umeona eehNeno la asubuhi hili,,
Kwema mkuu?Am still lonely
Season ya ngapi hii
Hahaha hatari tupu bro, atashika hk mara tyl macho yapo kwenye ktu kingine, mwsho wa siku vtu anavyonunua hata haviendan na pilika zle zoteDooh! Womens mpaka store wanaingia tena hapo kwenye mchoro naona wanapita hadi juu ya makabati
[emoji16] [emoji16] [emoji16] kwema lakini mkuuHahahahaha!! Umeona eeh
Kwema kabisa mkuu, habari za weekend?[emoji16] [emoji16] [emoji16] kwema lakini mkuu
Weekend iko poa mkuu, huko vp w/endKwema kabisa mkuu, habari za weekend?