Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umewahi kujua vitu vinavyokunenepesha?

Kwa mfano unapokuwa na muda ,na wakati huo upo karibu na restauranti na vyakula vinapangwa na kuvitia macho na kutamanisha , mara unaamua kwenda kula hata kama huna njaa. Utakuwa mnene kuliko , bora kula chakula cha nyumbani chenye afya.
 
Au , Umewahi fanya kitu kimoja kibaya kama mimi , cha kusema ngoja leo niongeze , na kwamba hutarudia tena , Unajidanganya peke yako kufanya hivyo , na siku inayofuata utasema nakula tu leo , sitarudia tena. Au kula kitu wanasema asusa katikati ya mlo. . Na hapo unasema mara moja haitanidhuru. Ukweli ni kwamba utabaki unajilaumu , kwa nini umekula zaidi.
 
Kumbuka kula kitu kidogo kidogo , kitakufanya usile mlo kamili unaotakiwa kula. Bdala yake wakati wa kula utakuwa umeshiba. na unakuwa hujala mlo wa kutosha.
 
65D8DFE7-4D99-4EF9-B6E9-6A7E8D3DB21F.jpeg
 
Halafu kufikiria kuwa usipokula utasikia njaa, huna njaa lakini unakula ili kuweka kwa ajili ya baadaye , hio ni mbaya kuliko ubaya wa kuweka uzito usio kuwa na sababu. Bora ule kidogo unapokuwa na njaa tu. halafu baadae kama utasikia njaa ndipo utakula kitu kidogo.
 
Back
Top Bottom