Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6.Eat Rich Foods

Kula chakula kamili na kinywaji safi. Kama samaki, kuku wa kienyeji, mboga , nazi, maji ya nazi, dagaa, mbegu za maboga, na matunda ya kutosha.

Vitunguu swaumu, mdalasini, tangawizi , limau, nyanya, vitunguu maji , karoti, zukini au bilinganya, kuna zingine kama asparagus, kombucha, kimchee na zingine.

Hivi vyakula ni muhimu kuliko kitu chochote mwilini mwako.
 
Na wengi huingiza matatizo ya kushindwa kupunguza uzito wanapokula wakati wanakaribia kulala. Hasa vyakula ambavyo unaweza ukazidisha kuvila mara nyingi ni kama , ice cream , juice, mkate, keki, biskuti, crips na vingine vya aina hio.
 
Mwisho wa siku huna nguvu , unapokaa kwenye kochi na kuwasha luninga yako, kitu cha kwanza unachokiona ni chips kuku, ice cream, soda, na cookies. Hata kama ulikula saa kumi na mbili na nusu, lakini unasikia njaa kwa sababu ya kuona na kutamani.
 
Back
Top Bottom