Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa kuna baadhi ya njia za kusafisha sumu ndani yamwili.

1.Eat Clean


Vegetables and spices border
Ni muhimu kubadili mtindo wako wa chakula . ili kuepukana na magonjwa yanayosababishwa na hivyo vyakula vilivyokuwa tayari vimetengenezwa. Vyakula hivyo ni kama, maandazi, sukari, dairy, soy, na chumvi ya mezani, pamoja na cheese, nyama nyekundu, mayai na vinywaji vyote vya kiwandani. Vyakula hivi vinatuongezea magonjwa yasiohitajika kwenye miili yetu.
 
2.Ondoa Magonjwa.

Ni vizuri kama utaweza kuondoa bacteria, parasites, na yeast ndani ya mwili wako . Achana na madawa ya hospitali kwanza , tumia dawa chakula kuondoa hao bacteria. Fikiria kama kuondoa takataka ndani ya bustani yako , au ndani ya shamba lako zuri .
 
Unaweza ukawa unafikiri kuwa maji ya kwenye chupa ni mazuri, pole. Pia nisamehe kwa kukuambia hilo. Lakini ukitaka kupata maji safi ni yale ya kuchemsha nyumbani kwako kisha weka limau au ndimu kiasi kunywa.
 
4.Eat More Green Veggies



Ni vizuri kulisha microbiome zetu kwa kula mboga za majani za kutosha . Ambazo zinatunza na kulinda afya zetu na kubalance microbiome. Ni nzuri pia kwa bacteria wazuri ndani ya miili yetu. Zina lishe ya kutosha na vitamini.
 
5.Angalia Zaidi Bacteria Wazuri.

Ni muhimu kufuatilia vyakula ambavyo ni vizuri. ( chakula na dawa) yaani hapo hapo unakula chakula kizuri na kupata dawa kwa wakati mmoja. Utakuwa unapata digestion nzuri, na kupumua kwako kutakuwa ni rahisi. Mwili utakuwa mwepesi , utaanza kujisikia vizuri, macho yako yataona vizuri. Akili yako itafanya kazi vizuri. Kila sehemu ya mwili wako itakaa sawa.
 
6.Eat Rich Foods

Kula chakula kamili na kinywaji safi. Kama samaki, kuku wa kienyeji, mboga , nazi, maji ya nazi, dagaa, mbegu za maboga, na matunda ya kutosha.

Vitunguu swaumu, mdalasini, tangawizi , limau, nyanya, vitunguu maji , karoti, zukini au bilinganya, kuna zingine kama asparagus, kombucha, kimchee na zingine.

Hivi vyakula ni muhimu kuliko kitu chochote mwilini mwako.
 
IMG-20180427-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom