Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Eti
Screenshot_2018-04-28-10-24-01-1.jpg
 
Kitu cha kufanya , pakua chakula ambacho unaona kuwa kitakutosha kutokana na nia yako, halafu ondoka sehemu ya chakula. Halafu usijipime kila siku , kama mimi nilivyokuwa nafanya kila siku asubuhi nilikuwa napanda juu ya mzani , lakini ilikuwa inanikatisha tamaa, maana uzito niliona kama unaongezeka. Nikaacha. Kwa hio jipime kila baada ya mwezi .
 
Nakumbuka tulifundishwa na wazazi wetu kuwa sio vizuri kuacha chakula kwenye sahani, kwa hio ilibidi kumaliza chote . Lakini nakuambia kwamba sio lazima kumaliza chakula chote kama utakuwa unajisikia kutosheka acha. Na kwa nini upakue chakula kingi ? kwa sababu hata mbwa huwa wana bajeti zao na chakula chao huwa kinatengwa.
 
Lenga sababu yako ya kutaka kupunguza uzito ili uwe na afya nzuri na mapenzi.

Weka ahadi, fanya maamuzi. Jaribu kuachana na hivyo vitu vya hatari nilivyovitaja hapo , anza kuwa na nidhamu ya kila kitu , na utaona mafanikio .
 
Back
Top Bottom