carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Sometimes
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Sometimes
Watu wanaambiwa wakamate nyoka wenye sumu kwa mikono, kula majani na hata kunyweshwa manii ya mchungaji wanafanya sembuse kuvua chupi?
It is necessary...
Kwani ile bet yenu na numby ilihusisha msamaha wa mahali ya nani??Nilisamehe? Mimi ni wa kusamehe mahari mimi? A yu siriazi?
Let's say nilisamehe. Vipi kuhusu mambo ya kimila kama blanketi la mama, pombe za mabrathee na mengineyo mengi? Hata hizo nazo anabebeshwa Wenga? Halafu bado ana ubavu wa kuja kuniambia eti nikakabebe kapwa. Mbona asikapeleke huko kwa Wenga aliyekunywa hizo pombe za mabrathee na mahari?
Mbona mwalimu kaweka tiki tu. Pengine katika jamii yao samaki ndivyo walivyo. Au alishawahi kumuuliza mshua wake akadanganywa kuwa ndiye samaki...Gaiii[emoji134] View attachment 759488
Eti umeumbwa ili kufanya nini? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Ooooh! Nashukuru pia...Nimeumbwa kufurahisha.
[emoji23][emoji23][emoji23], kwani huyo sio samaki???Mbona mwalimu kaweka tiki tu. Pengine katika jamii yao samaki ndivyo walivyo. Au alishawahi kumuuliza mshua wake aladanganywa kuwa ndiye samaki...
[emoji106][emoji106]Mahali ni pazuri
Ndugu wanapokaa
Wakipatana vyema,na wakipendana[emoji441] [emoji441] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Hawa wachungaji wa siku hizi,mmmh!Mungu atunusuru.Watu wanaambiwa wakamate nyoka wenye sumu kwa mikono, kula majani na hata kunyweshwa manii ya mchungaji wanafanya sembuse kuvua chupi?
Mh!!Hawa wachungaji wa siku hizi,mmmh!Mungu atunusuru.
Kuna yule wa SA alikuwa akiwapulizia dawa waumini,dah!
Mke huwa harudishwi...Kwani ile bet yenu na numby ilihusisha msamaha wa mahali ya nani??
Ila hapa kwa mpare umepatikana maana ni jeuri.
Mwambie arudishe mke
Ndiyo, kufurahisha.Eti umeumbwa ili kufanya nini? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji23][emoji23][emoji23], kwani huyo sio samaki???
SafiiMke huwa harudishwi...
Kama yeye jeuri basi mi kichaa kabisa. Mahari atatoa tu. Hata kama ni kwenda kumdai Wenga atakwenda...
Wa Brazil huko alikuwa anawanywesha wanawake shahawa zake eti wapate mibaraka ikiwemo watoto na waume. Alipigwa mvua 12 nadhani...Hawa wachungaji wa siku hizi,mmmh!Mungu atunusuru.
Kuna yule wa SA alikuwa akiwapulizia dawa waumini,dah!
Ila shem unapenda mahali wewe[emoji23][emoji23]Mke huwa harudishwi...
Kama yeye jeuri basi mi kichaa kabisa. Mahari atatoa tu. Hata kama ni kwenda kumdai Wenga atakwenda...
Mbona wakimbia swali mkuu?[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️