Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji2][emoji2][emoji2]ila shem hii mahari si ulisamehe?ama ilikua ile ya andjul kwa dadako yule mwingin
Nilisamehe? Mimi ni wa kusamehe mahari mimi? A yu siriazi?

Let's say nilisamehe. Vipi kuhusu mambo ya kimila kama blanketi la mama, pombe za mabrathee na mengineyo mengi? Hata hizo nazo anabebeshwa Wenga? Halafu bado ana ubavu wa kuja kuniambia eti nikakabebe kapwa. Mbona asikapeleke huko kwa Wenga aliyekunywa hizo pombe za mabrathee na mahari?
 
Back
Top Bottom