Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1524687356563.gif
 
WAPO watu wanatafuta majina mazuri kuwapa watoto wao, lakini hilo jina likoje? Linalipa?

Sikia hii. Mahakama ya Ulaya imemruhusu kiungo mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi kuwa sasa anaweza kutumia jina lake kama brandi ya biashara.
 
Hatua hiyo itamfanya mchezaji huyo kupiga hela kwa kampuni za kutengeneza vifaa vya michezo kutumia jina la Messi katika bidhaa wanazozalisha.

Mchezaji huyo alipambana kwa miaka saba jina lake kutumika kwenye bidhaa za michezo kama brandi pamoja na yeye mwenyewe.
 
Kwa mara ya kwanza jina lake lilipata ushindani kutoka kwa kampuni ya Spanish Cycling na Massi alisema kuwa jina hilo lingeleta mkanganyiko.

Lakini mahakama ya juu ya Umoja wa Ulaya, EU ilisema kuwa mchezaji huo anaweza kuendelea kutumia jina lake kwa kuondoa kila utata unaweza kujitokeza.
 
Hatua hiyo imetokana na jarida moja la soka France Football la Ufaransa kuripoti kuwa Messi amempiku Cristiano Ronaldo kwamba ni mchezaji anayelipwa zaidi, akiingiza Euro126m (Pauni108m) wakati Ronaldo anaingiza Euro94m.

Suala la jina la Messi kutumika kama brandi liliiwasilishwa kwenye kitengo cha alama za biashara na haki miliki cha umoja huo (EUIPO) tangu mwaka 2011.
 
Kanye aliwashtua mashabiki kwa tweet zake za mfululizo huku kubwa iliyoteka vichwa vya habari ni mpango wake a kuwania kiti cha urais nchini Marekani ifikapo mwaka 2024 pamoja n kuukosoa uongozi wa Barack Obam.

Hata hivyo stori hiyo imeonekana kuwa msanii huyo alikuwa anatengeneza tenssion kwa mashabiki ili aweze kuachia kitu kipya.

Kupitia mtanao wake wa Twitter rapper huyo ameahidi kuachia ngoma kwa kuandika:

I’m going to drop a song with a verse that will bring Ebro the closure he’s been seeking

The bars

It’s called Lift Yourself
 
Yeah. Ulikuwa mzozo mkali sana. Uniq anasema eti yeye na mkewe wamepata katoto sasa anataka niende angalau nikakabebe kapwa kangu. Nikamwambia akapeleke kwa Wenga huko kwa sababu ndiye aliyehusishwa na mahari.
[emoji2][emoji2][emoji2]ila shem hii mahari si ulisamehe?ama ilikua ile ya andjul kwa dadako yule mwingin
 
Back
Top Bottom