Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Lete mahari mkuu...Namuona Shemehi yangu SyB anachekaaa
Pole sana ukija Tanga usiache kutujulishaHahaaaaaaa navuja jasho Kwenye barabara za Bashite
Naona bado unamuwinda Babe S. Mahari Shimba alisha chukua tatizo anapenda sana ng'ombe.Muda wooooote nilio kujua, nilikuwa nasubiria saaaana neno la dharau hilo la "mpare wa Gonja"
Shemeji Shimba futa madai yako yote. Hapo haupati kitu, kesha jiapiza kabisa. Hao wa Gonja ni wabaili afadhali ya shuaini utamla nyama
Kuna vitu vingi sana nawaza. Lakini nikipata muda kuna mahali nitaviweka bayana.You are very right. Nini tufanye ilo swali bado tuko nalo, chief.
Kuna watu wana kumbukumbu nzuri sana humu ndani.Ndio, umesahau? Alisema yeye hana madhara atakuwa anazunguka tu nje kule Masaki.Akapotea mazimaaaa... Kurudi anaimba taarabu, hata sijui walimfanya nini mzee yule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mahari labda ulimpa Wenga au Numbisa. Mi sikupata hata bata mmoja...[emoji23][emoji23][emoji23]Naona bado unamuwinda Babe S. Mahari Shimba alisha chukua tatizo anapenda sana ng'ombe.