Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mishe mishe mwanzo mwisho humoMad Max furry road
Bro, unaonaje huyu tukimkonvisi awe mwenyekiti wetu mpya wa CHACHAWA?
[emoji16][emoji16][emoji16]Zina hamasisha kutazama zaidiMishe mishe mwanzo mwisho humo
Wazungu bwana. Demokrasia yao inaanzia kwenye ngazi ya familia. Mzee wa Kiafrika umjibu hivyo weee. Kibano chake utawasimulia mpaka wajukuu zako....
Namuona Shemehi yangu SyB anachekaaa
Evelyne Salt....
Acha tu[emoji16][emoji16][emoji16]Zina hamasisha kutazama zaidi
Mbunye mkuu. Inaweza kukufanya ukawa mtumwa...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Kukubaliana Na Kila Achosema Mpenzi Wako Kisa Ni Mzuri Na Unaogopa Atakuacha Huu Ni zaidi Ya Ujinga......
Hahahha.Yeah. Ulikuwa mzozo mkali sana. Uniq anasema eti yeye na mkewe wamepata katoto sasa anataka niende angalau nikakabebe kapwa kangu. Nikamwambia akapeleke kwa Wenga huko kwa sababu ndiye aliyehusishwa na mahari.