carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Moyo wa kukubali kama atagongewa[emoji23][emoji23][emoji23]Kugongewa atagongewa tu hata kama ni self employed...Awe na moyo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Moyo wa kukubali kama atagongewa[emoji23][emoji23][emoji23]Kugongewa atagongewa tu hata kama ni self employed...Awe na moyo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah. Ulikuwa mzozo mkali sana. Uniq anasema eti yeye na mkewe wamepata katoto sasa anataka niende angalau nikakabebe kapwa kangu. Nikamwambia akapeleke kwa Wenga huko kwa sababu ndiye aliyehusishwa na mahari.Nilishaondoka.
Nimeona umekumbishia mahari yako[emoji23][emoji23]
Yap. Hakuna namna...Moyo wa kukubali kama atagongewa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Uje unihadithie
Siku hizi imekua kama fashen vile watu wakitibuana kidogo tu wanamwaga siri zao hadharanItaniharibia upako leo[emoji20][emoji20]
Ila hizi mambo sijui watu watakoma lini kwakweli