ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Nahisi nimeelewa tofautiWewe ulijibu kabla ya kuelewa swali vizuri eeh?
Nahisi nimeelewa tofautiWewe ulijibu kabla ya kuelewa swali vizuri eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee, tokotoko
Tuwaache kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Uje unihadithieNgoja tukaone
Ulivyoelewa Mara ya kwanza uko sahihi kabisaNahisi nimeelewa tofauti
Mgumuuu[emoji23][emoji23][emoji23]I am so lonely
Am still lonely
Jf watu wanavigezo si mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu alipouliza hili swali (ambalo mpaka leo halijajibiwa) ndiyo nilijua kuwa bro wangu ni great thinker na mtu huru sana katika mawazo na kufikiri. Ukiangalia vimisemo vyake vingi huwa vina maana ya ndani sana. Huwa hatumwelewi tu. Hata parabozi zake huwa hatuzielewi kwa sababu zipo katika level ya juu sana. Mimi nshambatiza kuwa GT wa uzi huu...!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
andjul na SHIMBA YA BUYENZE njoeni mumsikie ndugu yenu huku
Itaniharibia upako leo[emoji20][emoji20]Ipo google
Jamaa hataki mwanamke aliyeajiriwa. Anataka self employed. Ai wanda whai [emoji23][emoji23][emoji23]Jf watu wanavigezo si mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ohooo [emoji4]Ulivyoelewa Mara ya kwanza uko sahihi kabisa
Inawezekana kweli maana yuko deep sana na kila kituTangu alipouliza hili swali (ambalo mpaka leo halijajibiwa) ndiyo nilijua kuwa bro wangu ni great thinker na mtu huru sana katika mawazo na kufikiri. Ukiangalia vimisemo vyake vingi huwa vina maana ya ndani sana. Huwa hatumwelewi tu. Hata parabozi zake huwa hatuzielewi kwa sababu zipo katika level ya juu sana. Mimi nshambatiza kuwa GT wa uzi huu...!!!View attachment 758922
Sijui anaogopa kugongewa na maboss[emoji23][emoji23]Jamaa hataki mwanamke aliyeajiriwa. Anataka self employed. Ai wanda whai [emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda ukatesti zali shemeji !!!
Na bro wangu hana maneno na mtu kabisa. I love my bro [emoji818][emoji818][emoji818]Inawezekana kweli maana yuko deep sana na kila kitu
Ila maswali yake sasa[emoji23][emoji23]
Kajaribu tu. Yu neva no....Sijui anaogopa kugongewa na maboss[emoji23][emoji23]
Me vigezo sina shem,kiswahili kwangu shida sembuse kizungu...
Kwema?kumekuchaje huko?
Mnanaa kwa Kiingereza/Kiswahili ni mti gani?SAFISHA FIGO KWA Tsh. 500
AU CHINI YA HAPO
Miaka inapita figo zetu zinachuja damu kwa kuondoa chumvi na bakteria wasiohitajika waliomo kwenye miili yetu.
Baada ya muda chumvi hukusanyika kwenye figo hali inayopelekea kuhitaji tiba ya kusafishwa.
Je tunafanyaje suala hili!?
Ifuatayo ni njia nyepesi na rahisi ya kusafisha figo.
Chukua fungu la majani ya mnanaa na uoshe. Katakata vipande vidogo vidogo na weka kwenye sufuria.
Mwagia maji safi na kisha chemsha kwa dakika kumi kisha acha yapoe.
Chuja kimiminika chako chenye majani ya mnanaa na hifadhi kwenye chupa safi kwenye friji ili iendelee kua baridi.
Kunywa glasi moja ya maji kila siku na utaona mabadiliko chumvi yote na uchafu mwingine uliokua umejikusanya utatolewa nje ya figo wakati wa kukojoa.
Utaweza kugundua mabadiliko ya mwili wako mwenyewe.
Majani ya mnanaa yanajulikana kwa kiasi kikubwa kama tiba ya kusafisha figo na sehemu kubwa ya mmea huu ni asili.
Tafadhali sambaza ujumbe huu na weka figo zako safi.
Usiishie kusoma tu
[emoji117] Tuma kwa mtu unaemjali[emoji118][emoji106]
Siku ya figo Duniani..
Linda figo zako
Prof. Dr. N.Satya Prasad..
Imefasiriwa kwa kiswahili na Sleym m. Slim
Kugongewa atagongewa tu hata kama ni self employed...Awe na moyo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui anaogopa kugongewa na maboss[emoji23][emoji23]
Me vigezo sina shem,kiswahili kwangu shida sembuse kizungu...
Kwema?kumekuchaje huko?
Nilishaondoka.Kajaribu tu. Yu neva no....
Huku kwema. Mwakaleli alikuwepo jana hapa anatema cheche nikakutafuta lakini nadhani ulikuwa umeshaondoka...