Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani ile bet yenu na numby ilihusisha msamaha wa mahali ya nani??
Ila hapa kwa mpare umepatikana maana ni jeuri.
Mwambie arudishe mke
 
[emoji23][emoji23][emoji23], kwani huyo sio samaki???
[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Mke huwa harudishwi...

Kama yeye jeuri basi mi kichaa kabisa. Mahari atatoa tu. Hata kama ni kwenda kumdai Wenga atakwenda...
Ila shem unapenda mahali wewe[emoji23][emoji23]
Kumbushia na ile ya mwakaleli basi,maana last time alikuletea ng'ombe hizi[emoji243][emoji243][emoji233][emoji233][emoji233]na ulizikataa
 
Mbona wakimbia swali mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…