Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NISHA.jpg
 
Shimba na bwana jiwe mtu na pacha ake juzi juzi hapa alikua nalilia kukubaliwa asamehe deni la uniq ila la andjul kubwa halisameheki,saiv kasahau analilia deni alilosamehe
Hujafuatilia mjadala vizuri. Uniq amekorofisha mwenyewe. Mi nilimwambia kuwa hata kama mahari alikula Wenga vipi kuhusu mambo ya kimila ambayo ni tofauti na ishu ya mahari mf. Blanketi la bibi, pombe za wajomba na zawadi za mabrathee? Ndipo mzozo ulianzia hapo. Baadaye ndo akakurupuka ba kusema kuwa mahari eti alishatulipa...and it was on !!!

Na huyo bwana jiwe ni nani? Mbona nalinganishwa naye? Ni sifa hii au ni tukano? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom