goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Asante kwa MwalikoHello wachawi wote humu, kesho mnakaribishwa kwenye mkutano wa wachawi afrika ya mashariki utafanyika hapo, eldoret , Kenya saa 7 usiku.
Mnakaribishwa sana. [emoji101] [emoji102]
Hahah!! Basi vizuri kama unazingatia mashartiSisikilizaki kwa saiti kubwa nawee, ndioo namfahamu best yuko vizuri
Uje uwe mwanachama utapata gari nyumba pesa wanawake kila starehe utapata [emoji23] [emoji378]Asante kwa Mwaliko
Bro Usimamiwe na Sir God usiku mzima uamke salama... gudnytIm Out!!
Good Nite Wakuu
Nyts mkuuIm Out!!
Good Nite Wakuu
[emoji4][emoji4][emoji4]Hahah!! Basi vizuri kama unazingatia masharti
Wanawake tena? Muhimu kuhudhulia hiyoUje uwe mwanachama utapata gari nyumba pesa wanawake kila starehe utapata [emoji23] [emoji378]
Lala wewe kesho uwahi Sunday school. [emoji23]Nyts mkuu
Sijui nini kiliwakuta hawa jamaa...Huu wimbo hauchoshi asee mimi nausikilizaga usiku wakati wa kulala na asubuhi.
Ngoja nile kwanza[emoji4][emoji4][emoji4]
Wapo wenye chura, mamba, mjusi, n.k [emoji23]Wanawake tena? Muhimu kuhudhulia hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siwezi kulala sasa hivi aseeLala wewe kesho uwahi Sunday school. [emoji23]
Kabisa. Yaani wanapenda vitu hivi sana.[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ikija hapa haponi mtu...hata baba mchungaji syb atanyongwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Vyura wa Kihansi [emoji23]Wapo wenye chura, mamba, mjusi, n.k [emoji23]
Kuna mmoja alifariki kama sijakoseaSijui nini kiliwakuta hawa jamaa...
Mmmh... Ungekuwa ndoani ungeshalala kitambo. [emoji23] [emoji102][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siwezi kulala sasa hivi asee