Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Empire of illusion
Aiseeh!! Ila kule napo panalega lega sana siku hizi huwa napita nakuta pamepoaNdioo hadi alfajiri sometimes
Huu wimbo hauchoshi asee mimi nausikilizaga usiku wakati wa kulala na asubuhi.
Hii ni moja ya wimbo wao ambao naweza kuusikiliza masaa hata kumi bila kuchoka.......
Huwa unanikumbushaga mbali saana sanaaaa
HahahBro mfano Kim akikwambia amekutunuku game moja utakubali utakataa sema Kweli???
Nitakataa broBro mfano Kim akikwambia amekutunuku game moja utakubali utakataa sema Kweli???
Siunajua tena Next president alivyo na akili nyingi naona kaamua kuruka kihunzi kwa njia hiyoHahaaa et hajawahi kuona, wakati ile sextape imesambaa hadi huku kolomije ilikuwa lazma aseme hvo tu hana jinsi presdent huyo wa usa 2020
Masiara bro Kim Huyu Huyu Duuuuh KweliNitakataa bro
Sikeshi huku best nakesha na musicAiseeh!! Ila kule napo panalega lega sana siku hizi huwa napita nakuta pamepoa