Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Jolie - Bado mapemaHuu wimbo hauchoshi asee mimi nausikilizaga usiku wakati wa kulala na asubuhi.
Jolie - Bado mapemaHuu wimbo hauchoshi asee mimi nausikilizaga usiku wakati wa kulala na asubuhi.
Jamaa ana masiara KweliHahah
Winfrida Rutto
[emoji23][emoji23][emoji23]Nitakataa bro
Hahaha,hakuna mkate mgumu mbele ya chai broMasiara bro Kim Huyu Huyu Duuuuh Kweli
Wonder shall never
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wimbo wakoJolie - Bado mapema
AiseeNdio
Tulipishana lugha rafiki, kumbe music heal your soul today tomorrow?Sikeshi huku best nakesha na music
[emoji16] [emoji16] [emoji16] asie, sometym hata lyrics znakataa sauti ya kushuka mm napanda, tabu kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wimbo wako
Alafu shida yenyewe sio chai ni chai ya mchaichai broHahaha,hakuna mkate mgumu mbele ya chai bro
Hayo masihara kweli yani siwezi kuamini kua ana ubavu wa kukataa offer ya KimJamaa ana masiara Kweli
Imetulia hyo bro!Nikweli ila siunajua tunatofautiana yani mimi nikikaa maskani tu naridhika kama kuna vyombo napiga ndani tu nalala
Anadeal na vitu gani?Winfrida Rutto
Hahaa lazma ulainike mwanzo mwishoAlafu shida yenyewe sio chai ni chai ya mchaichai bro