Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaa mkuu unaizmia sana ile familia eeh? Nltaka nione utarespond vp,,, ila kanye ana roho ngumu na mapenzi ya kweli kwa yule dada,, kusambaa kote kule kwa ile sextape na bado akaweka ndani,,
Hahah! namuelewa zaidi Kanye kwahiyo kitu kinachomuhusu lazima nitakua na mapenzi nacho pia ndio mana unaona najaribu kusafisha shem wangu Kim [emoji16].....

Jamaa mwenyewe anasema hajawahi kuona hiyo kitu na hataki kuona
 
Hakuna mwenye ndugu wengi kama konda wa daladala.
Utasikia,
"HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO.
MA-MDOGO UNAENDA?,
NGOJA ASHUKE BIBI.
HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAH.
Babu njoo ukae!
Baba angu hapo tusogee kidogo,
Shangazi maliza ngazi,
Swaiba geukia mbele,
Kaka hapo shika upande wa pili,
Mdogo wangu mpishe Ma Mkwe akae.
Subiri Shemeji yako apande…
Duh… makonda noma…!!
 
Hahah! namuelewa zaidi Kanye kwahiyo kitu kinachomuhusu lazima nitakua na mapenzi nacho pia ndio mana unaona najaribu kusafisha shem wangu Kim [emoji16].....

Jamaa mwenyewe anasema hajawahi kuona hiyo kitu na hataki kuona
Hahaaa et hajawahi kuona, wakati ile sextape imesambaa hadi huku kolomije ilikuwa lazma aseme hvo tu hana jinsi presdent huyo wa usa 2020
 
445214346_336138.jpg
 
Back
Top Bottom