Is truth relative or universal??Pengine ni kweli kama unaamini katika absolute truths. Wengine wanaamini kwamba hakuna kitu ambacho ni kweli kabisa kabisa kwa asilimia 100 kwa sababu kama binadamu na milango yetu hii dhaifu ya fahamu hatuna uwezo wa kuuona ukweli kwa asilimia zote. Ajabu hata binadamu mwenye akili pengine kuliko wote waliowahi kuishi (Albert Einstein) naye akatuletea mambo ya relativism...
Kula likes Carrissa...
Millionea wangu, kwema? Arachuga baridi linapuliza eeeh!?Goodmorning wadau
Morning to you MarkntoshGoodmorning wadau
It depends on what you believe...Is truth relative or universal??
Nkingwa ole mola hene !!Seba Agulang'hane bageshi...
Sahi??!!!!!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] ( in Ugandan voice)Hapana. Actually ndiyo najiandaa kwenda kulala [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kwema sana tajiri.Linapuliza sana comrade lakini leo kumeamka vizuri thanks to the Almighty.Millionea wangu, kwema? Arachuga baridi linapuliza eeeh!?
That's my rafiki!!! Great [emoji106] [emoji106] [emoji106] yani mulemuleeeeeIt depends on what you believe...
Si vema kutafuna vijidudu jamaniSenene watamu sana
Yeah. Watu wamebishania haya mambo kwa miaka. Nina mavitabu yao ya kila aina hapa nikiwa nimeboreka huwa napenda kuyasoma. Yanasaidia kupanua mawazo na uwezo wa kufikiri.Hahahaah mkuu unanikumbusha mbali sana philosophy enzi hizoo mambo ya epistemology! Asante sana
Hakuna milele bhaana. Wewe ishi muda aliokupangia Mungu kusha ufeKwa uweza wa mungu.. Na tukapate Ishi milele.. All Say aimen!
Mhola gete namhala. Wabeja!Nkingwa ole mola hene !!
Yap!Sahi??!!!!!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] ( in Ugandan voice)
Are you a philosopher?? TehtehtehYeah. Watu wamebishania haya mambo kwa miaka. Nina mavitabu yao ya kila aina hapa nikiwa nimeboreka huwa napenda kuyasoma. Yanasaidia kupanua mawazo na uwezo wa kufikiri.