Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kujamba huambatana na sauti, hii ni kutokana na "vibration" katika njia ya haja kubwa. Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samahani naomba kuuliza hiyo misuli ndio malinda yenyewe?
 
3.Watu hujamba hadi mara 14 kwa siku

Mtu wa kawaida hutoa hata nusu lita ya ushuzi kwa siku. Inasemekana mtu akijamba mfululizo kwa kipindi cha miaka 6, anaweza kuzalisha nishati ya kutosha kutengeneza bomu la atomiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na ungekuwa mradi mkubwa sana huo kwa tanzania tunatafuta watu wanene 50 walishwe maharage na mayai viza kisha kila mmoja anapewa pipa,

ajambie humooo mpaka yajae gas kisha yapeleke kiwandani kwa ajili ya kufanyiwa manufacture ya bomu nadhani litaitwa fatbomb.
 
nilishawahi kujizuia kufanya hiyo kitu nilijuta tumbo liliniuma sana.

japo ilikuwa ni sehemu muhimu ambayo nipo na umati mkubwa wa watu, hawawezi kukuelewa ukiwaletea habari zako za kujamba ni afya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…