Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ndio ana misuli hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samahani naomba kuuliza hiyo misuli ndio malinda yenyewe?
Ndio ana misuli hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samahani naomba kuuliza hiyo misuli ndio malinda yenyewe?
pia ni trick kama siku hiyo mmepika chakura kizuri kuliko siku zote alafu mnakulaga kifamilia we jamba tu si watakuachia chakula huku wakitoka nje wakiwa wameziba pua, basi taratibu unakamua msosi wako wote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]6.Kwa Baadhi ya Tamaduni, Kujamba Sio Ishu
Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la kujamba lifanywe kistaarabu, kuna baadhi ya tamaduni hawaoni haya kujamba hadharani, na pia hufurahia tendo hilo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mfalme wewe huoni haya kujamba hadharani raia wako sasa itakuwaje?Mfano kabila la Yanomami huko America ya Kusini kwao husalimiana kwa kujamba na China unaweza kupata kazi ya kunusa ushuzi! Katika Roma ya zamani Mfalme Claudius akihofia kwamba kujizuia kujamba inaweza kuwa hatari kiafya, alipitisha sheria kwamba ni ruhusa kujamba kwenye "banquets".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna kipind nilipokua sec zililetwa ndizi tule tudogo nikala kwa pupa,basi nashauliwa kula chache usije tusumbua kwa kijampo nikabisa weee dakika tano nyingi ni puu puuunilishawahi kujizuia kufanya hiyo kitu nilijuta tumbo liliniuma sana.
japo ilikuwa ni sehemu muhimu ambayo nipo na umati mkubwa wa watu, hawawezi kukuelewa ukiwaletea habari zako za kujamba ni afya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sema imekuja kugundulika miaka ya hivi karibuni ambapo mkaa umekua mwingi mitaani ingegundulika kipindi kile aah mbona ingekuwa safi tu kiberiti tunatembea nacho wenyewe tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]7. Ushuzi Unawasha Moto
Kama ilivyoandikwa hapo juu. Methane na hydrogen inayozalishwa na ushuzi inaweza sababisha moto.
Wengine tunachat zipo kwenye soket hatar tupuChaji imegonga 6%. Ngoja nichaji aisee. Baadaye wakuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 760826
mchwa hawa hawa au viwazi jeshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi nilidhani hakuna anayenifikia sekta hiyo.8. Mchwa Hujamba Kuliko Wanyama Aina Zote
Ni ngumu kuamini kuwa mchwa ndo anawajibika na matatizo yetu ya "Global Warming". Mchwa huongoza kwa kujamba kwa wanyama na hiyo huzalisha gesi ya methane.
Poleee!Chaji imegonga 6%. Ngoja nichaji aisee. Baadaye wakuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 760826
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pia ni trick kama siku hiyo mmepika chakura kizuri kuliko siku zote alafu mnakulaga kifamilia we jamba tu si watakuachia chakula huku wakitoka nje wakiwa wameziba pua, basi taratibu unakamua msosi wako wote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mchwa hawa hawa au viwazi jeshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi nilidhani hakuna anayenifikia sekta hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nadhani sababu kuu ni kwasababu ulisema kuna misuli migumu ya haja kubwa so unapokuwa awake unaweza ukabana au kuachia kutoka kwa ushuzi.9.Ukiubana Ushuzi, Utakutoka Usingizini
Hata ujitahidi kuubana vipi, ushuzi utatoka mara utapokua umepumzika, hasa ukiwa umelala.