Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1525025951254.gif
 
Ingawa dalili za mafua sio mbaya sana na hazidumu kwa zaidi ya wiki tatu, utafiti unaonyesha kuwa mafua huchangia kukwamisha maendeleo kwa kiasi fulani. Utafiti uliochapishwa katika jarida la kitabibu la Archival of Internal Medicine, umebaini mafua yanaweza kusababisha mgogoro wa uchumi wa mtu ikiwa ataugua kwa kpindi kirefu na kushindwa kufanya kazi zake za kila siku za kumwingizia kipato.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna kipind nilipokua sec zililetwa ndizi tule tudogo nikala kwa pupa,basi nashauliwa kula chache usije tusumbua kwa kijampo nikabisa weee dakika tano nyingi ni puu puuu
darasani? mwalimu alikuwepo? vipi boys walikuwepo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom