Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

nipe [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] NIKUPE [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Ingawa dalili za mafua sio mbaya sana na hazidumu kwa zaidi ya wiki tatu, utafiti unaonyesha kuwa mafua huchangia kukwamisha maendeleo kwa kiasi fulani. Utafiti uliochapishwa katika jarida la kitabibu la Archival of Internal Medicine, umebaini mafua yanaweza kusababisha mgogoro wa uchumi wa mtu ikiwa ataugua kwa kpindi kirefu na kushindwa kufanya kazi zake za kila siku za kumwingizia kipato.
nashindwa kuelewa mafua ni ugonjwa ambao huwa mala nyingi nau ignore sana.

hata nikiumwa leo nitapona na sitajua nilipona saa ngapi sababu sitatumia dawa yoyote.
 
Back
Top Bottom