ConsuelaHeaven is over me [emoji445] [emoji445]
kuna sehemu nilikutag kuna bazaz mmoja alikuwa anataka uzi wa kupeana likes ufutwe sijui kama uliona notification?Ila jf tunapendana jamani sio kwa wema huu. Lol. Idimu jf miaka yote aisee
hapana mimi malinda sina kwakweli na ujanja wangu wote sina.Wewe huna?
Sijaona Mkuu umenitag leo??kuna sehemu nilikutag kuna bazaz mmoja alikuwa anataka uzi wa kupeana likes ufutwe sijui kama uliona notification?
leta mpaka kauli mbiu hapa like ndo zinatembea tu.tuna-post mpaka methali...
5GLi Uzi linakimbia hili
Poa mkuuhapana mimi malinda sina kwakweli na ujanja wangu wote sina.
je malinda yapo nyuma tu au hata mbele?Mada ipi ipo mezani kwa sasa?
Malinda yapo kotekoteje malinda yapo nyuma tu au hata mbele?
aiseee!Kamusi sanifu ya kiswahili 2016.
Baniti - msichana ambaye hajaolewa / bikra , binti
Nmwaranda - uwazi ulio mwishoni mwa utumbo baina ya matako ambayo mavi hutokea / m.kun.du