Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
We jamaa mfukunyuku sanaKwa nini wacheka Cole?
We jamaa mfukunyuku sanaKwa nini wacheka Cole?
Nmeelewa Boss.Kuna viwili humu:
CHACHAWA (Chama cha Wagumu) na CHAWAMITA (Chama cha Wapenda Misambwanda Tanzania).
Unaweza kuanzisha cha kwako na bila shaka utajipatia membaz wengi tu...
Nadhani kunahitajika CHAWAVITA (Chama cha Wapenda Vimbaumbau Tanzania)
Salama moudSalaam rafiki