Umuambii kitu kuhusu King LeoRay Hudson
poa kabisa...Kwa heshima Na taadhima naomba kumkaribisha member Jodoki Kalimilo
akicomment tu Kama kawaida yetu naomba tumpe likes za kutosha Ili kumkaribisha........
Hii ni baada ya kuwa mpiga ndole maarufu kwenye magari[emoji3] [emoji3] [emoji3] vidole vimeota suguVidole vinafaa sana kwa upigaji ngoma