Bro, unaelewa maana ya skrinishoti katika muktadha wa CHAWAVITA?Skrinishoti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jina safi kabisa
Kwa wanawake wa Bongo thubutuuuuuu...!!!
Vidole hivi vilileta kizaazaa siku moja humu. Mkuu Davet upo?
[emoji23][emoji23][emoji23]*nipo hapa naangalia marudio ya mechi ya simba na yanga naona tshishimbi anarudia kosa lile lile la kukaa nyuma ya erasto nyoni*
*wasipoangalia watafungwa tena hawa*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My id inasomeka numbisaLedada tuanzishe chama chetu hapa. SCience lovers
sidhani kama vina fingerprint hivyo[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]