ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Ow sorry, Numbisa. Asante sana .. hata ivyo unaweza kula likes kwa styl ya ku-share unachopenda. If you don mind rejea proposal yng.My id inasomeka numbisa
Mkuu nipo hapa kula likes tu hayo mengine hayana umuhimu kwangu
Yes. Nao wi a tokingi...
Hata jana niliyaona haya mafyekerooooU see hahahaa
Hii kitu weka mbali na watoto aisee. Sauti yake tu utafikiri treni milioni moja zinakujia. Hatari sana na ukichelewa kuingia kwenye chumba cha chini unaweza kuzolewa kutoka Kariakoo mpaka hata Manzese aisee...9.TORNADO(KIMBUNGA CHA NCHI KAVU):
Huu ni mkusanyiko mkubwa wa hewa inayozunguka ikiwa imeshuka hadi kugusana na ardhi ambayo inaweza kuanzishwa na umeme unavyotokea.
Usingizi? Hapo akiona jike anakwenda kuanza kunusa na kubinua mdomo wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 761300
Usingizi huo
Nilishashuhudia vinne. Upepo mkali. Maji yanabubujika. Nyumba inatikisika...Hatari kubwa ni projectiles - vitu vyenye ncha kali vinavyorushwa huku na huko, shoti za umeme, kuangukiwa na vitu vizito pamoja na mafuriko. Uzuri tu kimbunga kinakuja mnakiona na mnakuwa mmejiandaa...6.KIMBUNGA(HURRICANES):
Ni dhoruba kubwa inayoweza kuchukua eneo la umbali hadi wa maili 600 ikiambatana na upepo mkali unaozunguka na kuelekea juu kwa kasi ya maili 75 mpaka 200 kwa saa.
Weka mbali na injini za Bombardier....5.MAJIVU YA VOLKANO(VOLCANIC ASH):
Janga hutokea pale ambapo volkano imelipuka na kutoa majivu mazito ya miamba iliyosagwa angani.