Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna sababu nyingi, lakini wengi ni wale wanaokuja mjini bila kuwa na utambuzi rasmi wa wao wenyewe na makazi yao. Shida ni uhamiaji wa watu kutoka mikoani,” anasema.
Mganga msaidizi katika Hospitali ya Temeke, Alex Shuli anasema kesi nyingi zinazowafikia zinatokana na watu kujichukulia sheria mkononi na kuua wanaowatuhumu kwa uhalifu.
Mganga msaidizi katika Hospitali ya Temeke, Alex Shuli anasema kesi nyingi zinazowafikia zinatokana na watu kujichukulia sheria mkononi na kuua wanaowatuhumu kwa uhalifu.