Miaka ya nyuma, mtu anayekuja Dar es Salaam alikuwa anafikia kwa ndugu, lakini siku hizi watu wanakuja tu mjini kwa kuaga kwao. Wanakuja kutafuta maisha. Asipoonekana miezi mitatu ndugu kijijini wanaendelea kuamini yuko mjini anatafuta maisha, kumbe alishagongwa gari na kufariki na tayari amezikwa na jiji,” anasema Dk Shuli.