Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
Hata mimi Naona mitambo imezenguwaSame ID ila Avatar tofauti hili tatizo la kiufundi [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 761685
Hata mimi Naona mitambo imezenguwaSame ID ila Avatar tofauti hili tatizo la kiufundi [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 761685
Kabisa,na pia unajikuta unakosa kujiamin hasa pale ukifikiria unahitaji kauli ya mwisho ya mgonjwa ila ndo hivyo tena haiwezekan kuwasilianaInakua ni mtihani kweli ni bora tu Mungu amchukue mwenyewe....
Japo kuna situation huwa wagonjwa wanafikia kuumwa adi unamuhurumia unatamani bora tu afariki ili akapumzike, lakini linapokukuja swala tena la wewe ndio utoe uamuzi wa kufanya mjonjwa awahishwe mapumzikoni inakua mtihani...
Mana utakua na mawazo kua Mungu anaweza kutenda miujiza yake mgonjwa akapona hapo baadae....
Yes catch me if u can
Lengo siyo nusu boflo
Who told u
I want a fool boflo by the end of the year
Losers are everywhere