Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

52109199-4A44-4F33-917D-19DFC1976D68.jpeg
 
Kweli kabisa
Aliyekula baadhi ya haya mabilioni nadhani namfahamu . Ameshusha bonge la resort mahali fulani hivi yaani ni 5 stars kabisa halafu porini. Nilifika hapo nikashangaa sana. Uzuri/ubaya jamii yetu inaabudu matajiri hata kama utajiri huo ni haramu. Na kwa mtindo huu ufisadi hautaisha ng'o !!!
 
2.Kupanga hitaji la hifadhi(Reserve requirement) kwa benki za biashara ambapo inazipangia benki hizo kiasi gani cha pesa kinachowekwa na wateja kitumike kukopesha na kiasi gani kipelekwe kwao Benki kuu kama hifadhi.
 
Back
Top Bottom