Aliyekula baadhi ya haya mabilioni nadhani namfahamu . Ameshusha bonge la resort mahali fulani hivi yaani ni 5 stars kabisa halafu porini. Nilifika hapo nikashangaa sana. Uzuri/ubaya jamii yetu inaabudu matajiri hata kama utajiri huo ni haramu. Na kwa mtindo huu ufisadi hautaisha ng'o !!!Kweli kabisa
Dah!Aliyekula baadhi ya haya mabilioni nadhani namfahamu . Ameshusha bonge la resort mahali fulani hivi yaani ni 5 stars kabisa halafu porini. Nilifika hapo nikashangaa sana. Uzuri/ubaya jamii yetu inaabudu matajiri hata kama utajiri huo ni haramu. Na kwa mtindo huu ufisadi hautaisha ng'o !!!
Ooh kumbe.....kwema lakini?There was a member here who use this as her ID, I am
not sure if she is still using the same ID.
Nilipendekeza huu uzi ufutwe