myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
09:49
[emoji38] [emoji38] nimekumbuka kitu[emoji124] [emoji124] [emoji124]Nimejiona aisee,, na wako na aibu sana type hii
Kwamba watu wanapata likes zisizo stahiliHuu uzi umefuta nguvu ya like jf
Ledada, Numbisa na wewe ni watoto wa kishua sana daily mnapiga pamba mpya....Hahahaaa kweli Bro, ile nliona imechafuka
Kwema lakini mkuu?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].Fikiri kwa makini kwa kina lazima utaelewa,
kama mada za Jf zinazosikika unaelewa,
Shaka juu yako umeketi nadi umelewa,
Elewa nacho maanisha kama mitaa ya uswazi ulipolelewa,
Ukishindwa, huu mzigo kwako mgumu tua chini utalemewa.
[emoji51] [emoji16] [emoji380] [emoji380] [emoji87] [emoji378] [emoji379] [emoji375]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi tuhuma ni nzito [emoji125] [emoji125]Ledada, Numbisa na wewe ni watoto wa kishua sana daily mnapiga pamba mpya....
Kwema kaka, vp huko salama?
Kabila moja linapatikana nyanda za juu kusini huku.Ufipa ipi mkuu?