Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NADHANI namfahamu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hatuko siriazi mkuu. Makelele yote yale kumbe wajanja tayari wameshapiga bilioni zao 30.5 kwa ulaini. Hizi ni US dola milioni 25+ ujue. Ukijumlisha na zile trilioni 1.5...

We are not serious. Tupigeni makelele tu lakini kwa mwendo huu we are NOT going anywhere. Afrika yaani sijui tuna nini...




Sent from my SM-G928T using JamiiForums mobile app
Sad.
 
[emoji21]
Screenshot_20180430-222801.jpg
 
*Black Ayam Cemani* ndiye kuku adimu na ghali zaidi duniani ana rangi nyeusi mwili Mzima mpka viungo vya ndani na mdomo. Kuku huyu anasadikiwa ni dawa na ya magonjwa mengi na anauzwa kwa dola $2500 tu! Takribani shilingi million sita za kitanzania
 
Back
Top Bottom