Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu ukiitwa kwenye kamati ya bunge PAC usikose kufika kusaidia nchi yako
NADHANI namfahamu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hatuko siriazi mkuu. Makelele yote yale kumbe wajanja tayari wameshapiga bilioni zao 30.5 kwa ulaini. Hizi ni US dola milioni 25+ ujue. Ukijumlisha na zile trilioni 1.5...

We are not serious. Tupigeni makelele tu lakini kwa mwendo huu we are NOT going anywhere. Afrika yaani sijui tuna nini...
 
Back
Top Bottom