AaminMwenye Enzi Mungu awabariki wafanyakazi wote wenye nia na matumaini mema ya nchi yetu Tanzania only!
Huyu ukhuty inabidi kumtafuta na kumleta kwa nguvu hukuWapi mwanampotevu ukhuty. Ibshhhcb okdn
Mkuu ukiitwa kwenye kamati ya bunge PAC usikose kufika kusaidia nchi yakoAliyekula baadhi ya haya mabilioni nadhani namfahamu . Ameshusha bonge la resort mahali fulani hivi yaani ni 5 stars kabisa halafu porini. Nilifika hapo nikashangaa sana. Uzuri/ubaya jamii yetu inaabudu matajiri hata kama utajiri huo ni haramu. Na kwa mtindo huu ufisadi hautaisha ng'o !!!