myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Toa nawe upate likes
Kuna kadhaa walikuwa wavulana mwaka 1993 wakati wanafanya mazoezi yao mitaa ile, wawili wapo Canada, mmoja Sweden, wangine SA. karibu wote hawapo hapaMkuu kwema?
WWA hawakuwa watoto ukilinganisha na umri wetu, namkumbuka mmoja wao Jeremiah alikuwa na asili ya West Africa alisoma Mkwawa PCM,alimaliza mwaka 1996.
Lakini kwema mkuuMkuu kwema?
WWA hawakuwa watoto ukilinganisha na umri wetu, namkumbuka mmoja wao Jeremiah alikuwa na asili ya West Africa alisoma Mkwawa PCM,alimaliza mwaka 1996.