Sad.NADHANI namfahamu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatuko siriazi mkuu. Makelele yote yale kumbe wajanja tayari wameshapiga bilioni zao 30.5 kwa ulaini. Hizi ni US dola milioni 25+ ujue. Ukijumlisha na zile trilioni 1.5...
We are not serious. Tupigeni makelele tu lakini kwa mwendo huu we are NOT going anywhere. Afrika yaani sijui tuna nini...
Sent from my SM-G928T using JamiiForums mobile app
Mzalendo!Huu uzi haujafutwa tu?
BadoHuu uzi haujafutwa tu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee!
8/10[emoji21]View attachment 762495
Shughul yake hapo ni kwenye kutoa8/10
Asante kwa kunijuza mkuu Davet
Pamoja sana ndugu..Asante kwa kunijuza mkuu Davet