Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisaaa,hivi ushawahi soma kitu ukapata picha ya aliyekiandika alikuwa katika hali gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa aliandika kwa upole na upendo wa hali ya juu[emoji23][emoji23][emoji23]mwee mwee mwee
Huwa inatokea kumtengenezea picha muandishi na unagundua hisia zake yani hisia(mapenzi) ni kikohozi huwezi ficha ata ukiandika
 
Back
Top Bottom