Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu uzi hauwezi kuacha akili ya mtu salama[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu tumekuja kwenye uzi huu na upako na busara za ajabu tunaondoka wala hatueleweki. Beef Lasagna alisema jana kuwa inawezekana aliyeuanzisha ni mfuasi wa Freemason...Sitashangaa kwa sababu mpaka ibada za mashetani na mamizimu zipo....
 
Hiyo siku mwokozi wetu ataonekana mawinguni. Tena na hiyo avatar korofi ikiweko ndo kabisaaa....

By the way, u wifey material HAUIGIZWI. My bro can see through the facade....Comment yake ile kwa sisi ma analyst imebeba hisia za ndani sana. Mwigizaji hawezi kuandikiwa comment kama ile [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona unanikata stimu big brathee??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom