Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu uzi hauwezi kuacha akili ya mtu salama[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu tumekuja kwenye uzi huu na upako na busara za ajabu tunaondoka wala hatueleweki. Beef Lasagna alisema jana kuwa inawezekana aliyeuanzisha ni mfuasi wa Freemason...Sitashangaa kwa sababu mpaka ibada za mashetani na mamizimu zipo....
 
Mbona unanikata stimu big brathee??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…